MWANAHARAKATI WA MUZIKI WA HIP HOP ROMA AKIWAPAGAWISHA MASHABIKI WAKE
MASHABIKI NAO WALIKUWA WAKUTOSHA KUFANIKISHA SHUGHULI HIYO NDANI YA VIWANJA VYA COCO BEACH
MSANII KUTOKA KENYA JAGUAR ANAYETAMBA NA KIBAO CHAKE KINACHOJULIKANA KAMA (KIGEUDEU) AKICHEZA PAMOJA NA MCHEZA SHOO WAKE KUPAGAWISHA MASHABIKI
No comments:
Post a Comment